
Walete ft. Nacha
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Walete ft. Nacha - Manengo
...
Is another one Shut up Touch!! Anaitwa Manengo hatari mtu huyu Pumzi hazikati kama stricker wa tukuyu Yess nyansubi ndo nyumbani Alaf hii ni michezo ya pata potea Naona mnazaliwa mwanza Alafu mnapenda umbeya Mfungwa ambaye kwa sasa niko huru Walete tu alafu bila shaka niwadhuru Watoto ninyi nami kuwatesa sina budi Wakiume tu kwa nje Ila hapo ndani Shishi food Niliwaambia huu mziki unamapene Bukoba senene Nimeondoka Mwanza mwembamba Nimerudi bonge mnene Binti asiyenijua Mwambie zinduka shosti Mwanza nawapakua watoto sangara rosti Mimi ndo host wanabaki parasite Show nikihost fake driver anagawa site Madem walionikataa Ee bhana cku hizi wananitaka Nilisha kula msoto nikala sembe Pia Dona Tanasha Vile ninanyota ya ustaa Namwona bibi BBC Then nakuwa 2pac namgeuza big big G Mwanenu nimekuwa kiziwi si mnaona sijikii Acha walete ukanda mimi ntaleta uflash na uCD Unaesema sili minofu nitaambulia mifupa wewe ni Nuhu alafu unajenga safina na jike Shupa
Similar Songs
More from Manengo
Listen to Manengo Walete ft. Nacha MP3 song. Walete ft. Nacha song from album Walete is released in 2022. The duration of song is 00:03:14. The song is sung by Manengo.
Related Tags: Walete ft. Nacha, Walete ft. Nacha song, Walete ft. Nacha MP3 song, Walete ft. Nacha MP3, download Walete ft. Nacha song, Walete ft. Nacha song, Walete Walete ft. Nacha song, Walete ft. Nacha song by Manengo, Walete ft. Nacha song download, download Walete ft. Nacha MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
De Hunter Jr.
Denis Dezidely
hatar mtu huyu ft nyansub
Juma Twalib1
aaaaaaah nengo tishaa sana damu yangu una iwakilisha mwanza yetu vyema
France beez
oyaaa [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Deleted User
anaitwa manengo hatari mtu huyu
Kaliiiii