Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2008

This song is not currently available in your region.

Lyrics

We Unasemaje? - D Knob

...

Intro: Wewe unasemaje? Wewe unasemaje? He-he, yeah Naanza, ausio? Verse 1: Yeah, yeah Wenzako wanasema mi ni kicheche sana ( Aihn ) Eti choka mbaya maishani mwako sijasimama Mzee wa maskani wa mitungi na kujichoma Wakutunga ma verse bila maadili ya maana Wakukaa bila hata jiti eh Dume ka binti 'wanadhani nikikudunga mimba ntakuruka kisiki Jana waliniita kunipima eti sio ridhiki Wakati kwangu ghetto kila asubuhi unasahau chupi Nashindwa hata kusizi, baby 'japo kwa vijiti Sauti zao zina nivuruga usingizi Maneno tu yananikaba mpaka kivuli Kivipi we ndio utamu uzidiwe na zao shubiri Najua nikiondoka wangu anasema nimerudi D Knob sijawakonyeza wananishtaki ufedhuli Wao wanapima ila haya maji wewe ndio unaejuwa Unayaoga, yeah Nipe ukweli niweze kuutambua Chorus: Niambie binti unasemaje kuhusu mimi? Nieleze unaonaje kwasababu siwaamini, yeah Niambie binti unasemaje kuhusu... mi? Tajiri na mnyamwezi au...? Utanishusha (?) Niambie binti unasemaje kuhusu mimi? Nieleze unaonaje kwasababu siwaamini, yeah Niambie binti unasemaje kuhusu... mi? Tajiri na mnyamwezi au...? Utanishusha (?) Verse 2: Wanasema sipendi hilo shuzi na lako shingo Macho ukifumba na ukilala eti 'sikulambi mgongo Pia wanadai nikiwa nawe huwa siwapigi fimbo Eti na ahadi za kucheza nawe 'wanasema ni uwongo Usije kushangaa wakikuambia mimi si mbongo Wivu ni upendo 'ukizidi utaleta msongo Wanashutumu ninacho kupendea ni lako nane umbo Wanadhani ukichuja nitakukwepa, nitakupiga kumbo Ni miaka mingi nimesonga nawe binti Kuanzia enzi za Talent Show mpaka masongi ya hit Tangu enzi za kukuita "pss" hadi leo nakuita sweetie Ndio maana sound sizifagili mpaka uzihakiki Usikonde niulize mimi unapo changanywa na marafiki Siwaelewi wanapo nihukumu mbona hawanitendi haki Wao wanapima ila haya maji wewe ndio unaejuwa Unayaoga Nipe ukweli niweze kuutambua Chorus: Niambie binti unasemaje kuhusu mimi? Nieleze unaonaje kwasababu siwaamini, yeah Niambie binti unasemaje kuhusu... mi? Tajiri na mnyamwezi au...? Utanishusha (?) Niambie binti unasemaje kuhusu mimi? Nieleze unaonaje kwasababu siwaamini, yeah Niambie binti unasemaje kuhusu... mi? Tajiri na mnyamwezi au...? Utanishusha (?) Outro: Yeah, Eh bwana ni D Knob, niko na Mwamba na Benja Hii ni kwa mitaa, ausio? Wewe unasemaje? kama kawaida, ausio? hehehe Huku na masela 'wazee wakusaka hela Yeah

Similar Songs

Listen to D Knob We Unasemaje? MP3 song. We Unasemaje? song from album Bomoa Mipango (International Edition) is released in 2008. The duration of song is 00:03:18. The song is sung by D Knob.

Related Tags: We Unasemaje?, We Unasemaje? song, We Unasemaje? MP3 song, We Unasemaje? MP3, download We Unasemaje? song, We Unasemaje? song, Bomoa Mipango (International Edition) We Unasemaje? song, We Unasemaje? song by D Knob, We Unasemaje? song download, download We Unasemaje? MP3 song

Comments (2)

0/500

    New Comments2

    ZUNGU255

    mika mika mika mwambaaaaaaa

    neemaytf3j

    we unasemaje

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234
            -You can log in via below methods-
            Reset password via e-mail
            -or-
            Reset password via e-mail
            If you have any questions, please feedback on Boomplay App or send an email to [email protected].

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status