Baba Msaliti
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2013
Lyrics
Baba Msaliti - P Mawenge
...
mwanandoa msaliti,baba nisie na Soni, nyumba inasota dhiki,pesa ninayo mfukoni, rafiki zangu wazinzi walevi na wagoni,Chaka letu baa pombe ni wiski na sio comoni,meza niliopo Mimi, mwingnee mwiko kuongeaa,zungusheni zikiisha nawaongezea navokaa kwa kiti unadhani nmechil meya p the mc in charge the round the pill peya majina ya billgate kibosile mapesa Hali nyumban kwangu watoto nimewabwetesha miaka juu ya kumi na shule sijawapeleka Anasa za hii Dunia kutwa zinaniteka shida zinapowakaba watoto wangu wanakufuru afadhali wasingekua na baba kuliko baba jina ambae siwapi msaada nikiondoka Leo kurudi ni baada ya siku Saba,,, BEAT.... Nyumba nimeisaliti,imejawa na dhiki kutwa kuchaa nakesha kwenye lodge na vibinti,wazi wengi walinishauri na Badoo nikawa mbishi,siambiliki sishikiki,nikama mwenye ibilisi,nyumbani sirudi mwezi mzima siku nikirudi kasheshe litarindima,Nyumba inakua Ulingo mi ndo John Cena Ngumi Kali kwa mkewanguu,Chali mpaka Anazima kutwa na zurura viwanja vyotee Nimo naishi kiwalani na najulikana mpaka kino
Similar Songs
More from P Mawenge
Listen to P Mawenge Baba Msaliti MP3 song. Baba Msaliti song from album Mwingi Wa Habari is released in 2013. The duration of song is 00:03:36. The song is sung by P Mawenge.
Related Tags: Baba Msaliti, Baba Msaliti song, Baba Msaliti MP3 song, Baba Msaliti MP3, download Baba Msaliti song, Baba Msaliti song, Mwingi Wa Habari Baba Msaliti song, Baba Msaliti song by P Mawenge, Baba Msaliti song download, download Baba Msaliti MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Alex sesif223k
Hc22jb4
iii ngoma ina nikumbusha kitambo
Davoo Hiclan
Hip hop forever
LIVINGSTONEg52ox
ckuping
siambiliki,sishikiki, [0x1f602][0x1f602][0x1f602] jumbe nzuri tupu