![Mitaa Nayotoka](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/10/b50b5ea39ae5450286ee8c3972b4d4b8_464_464.jpg)
Mitaa Nayotoka
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mitaa Nayotoka - P Mawenge
...
Yeaah!! p the mc nipo na abby mp natoka mtaani ambako birthday chache mingi misiba/ mtaani ambako hakuna raha nyingi ni shida/elimu sio kigezo kwa dem msingi ni figa/na hakuna mnyonge hata ukimukuta dingi ni mniggah mchana mpaka usiku vyote noma/ usiombe ukutane na mbwa mwitu kwenye kona /watakupuputisha kila kitu huku unajiona/ na utulie maana usipoanzisha tivu ndo umepona/ matozzy pia wezi /wakiharibu chimbo chaka bovu wanajichimbia mwezi/mchana wanajisikilizia stendi/ukiwatazama jinsi wanavyovaa hata kuwasingizia huwezi/masuti na matai kama boss/jicho nyanya washavuta dry kichwa moshi/ wengine washapotea bado wapo hai kwa kuforce/wangapi ni mifupa ndani ya udongo/ wangapii!!! wangapi wamekufa wanausongo/wangapii!!wangapi wanajuta kuwa wabongo washa hustle sana lige halipo supa hata kidogo.... mitaa nayotokax2 mitaani kina mama wanapanga bamia/wengine mboga kichwani wanatanga na njia/bize na biashara kuzichanga rupia/wakati watoto wa mafisadi wanamwaga mabia/biashara zetu vikaranga vijiubuyu/ vipi tusifunge vibanda ukipita ushuru/wengine washazamia south africa kwa mkaburu/huku kwetu giza nene mungu nakuomba umulike nuruu/maninja wanakesha tuu/ muda wote presha juu/vita na mabwela sababu ya kusaka pesa tuu/kitaeleweka tuu/ na wao watacheka tuu/ shida leo ukisha shika mkwanja life...... ceeated by Ngoo chata
Similar Songs
More from P Mawenge
Listen to P Mawenge Mitaa Nayotoka MP3 song. Mitaa Nayotoka song from album CLEO (Champion Leading EveryOne) is released in 2022. The duration of song is 00:03:55. The song is sung by P Mawenge.
Related Tags: Mitaa Nayotoka, Mitaa Nayotoka song, Mitaa Nayotoka MP3 song, Mitaa Nayotoka MP3, download Mitaa Nayotoka song, Mitaa Nayotoka song, CLEO (Champion Leading EveryOne) Mitaa Nayotoka song, Mitaa Nayotoka song by P Mawenge, Mitaa Nayotoka song download, download Mitaa Nayotoka MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Yatchwfjvz
Sammyböy t06xz
❤
Ali khamis Aligrg7u
kwalani
Erick jr3cems
nakukubali sana p
mchzii