- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Mwana - Joel Lwaga
...
nilifikiri moyoni mwangu
nikamwambia baba, nipe sehemu ya mali yangu,
nikaondoka nyumbani kwetu, nikaenda mbali
nikatumia mali yote
nikacheza na muda
nikaruhusu mali initawale
maisha yakawa magumu
nikafikiri moyoni mwangu
nitaenda wapi
nyumbani nimeshaondokaga
see lyrics >>Similar Songs
More from Joel Lwaga
Listen to Joel Lwaga Mwana MP3 song. Mwana song from album Thamani is released in 2020. The duration of song is 00:04:58. The song is sung by Joel Lwaga.
Related Tags: Mwana, Mwana song, Mwana MP3 song, Mwana MP3, download Mwana song, Mwana song, Thamani Mwana song, Mwana song by Joel Lwaga, Mwana song download, download Mwana MP3 song
Comments (28)
New Comments(28)
170138093
Nuwamanya Israel
so healing
Emmanuel Vicentghsmo
[0x1f627][0x1f627][0x1f623][0x1f623]
So blessing and touching my heart.. Keep it up Joel, You are really doing great.
Emmanuel Vicentghsmo
So blessing and touching my heart.. Keep it up Joel, You are really doing great.
David Mashenene
ubarikiwe sana joel maana bado Mungu anakutumia kwa viwango vya ajabu naona ukipeleka mbali uinjilisti wako kwa njia hii ya uimbaji Aisee Mungu akubariki sana sana [0x1f636][0x1f636][0x1f630][0x1f617][0x1f621][0x1f60e][0x1f63b]
Daniel stwimanye
joel nakubali sana
Jboy1964
be blessed
Xaya Pastor Malala
bro i like your to much your blessed me
Mr Gasper Urio
hongera sana kaka
Billy Kazy
nimebarikiwa sana na huu wimboo mungu azidi kukufunulia zaidi ya hapa bro,,,,,
123456789cd
ujumbe mzuri sana nyimbo pia ni nzuri hongera Joel Lwaga ,mwana mwana
richiesavageXXVII
wow this is taking kenyan gospel to a whole new level.i am proud to be kenyan.artists like these never get heard
That is powerful song my brother