Mimi Ni Wa Juu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mimi Ni Wa Juu - Joel Lwaga
...
kuna wakati wa giza
mbele sioni najiuliza,
mbona kama izi shiidaaa,
zimekawia kuisha,
katikati ya maswali,
nasikia sauti ndani,
imebeba ujasiri,ikinitaka nikiri,
nikisemaa
mimi ni wa juu ×3,juu saana,
mimi ni wa juu ×3,juu saana,
see lyrics >>Similar Songs
More from Joel Lwaga
Listen to Joel Lwaga Mimi Ni Wa Juu MP3 song. Mimi Ni Wa Juu song from album Mimi Ni Wa Juu is released in 2019. The duration of song is 00:04:06. The song is sung by Joel Lwaga.
Related Tags: Mimi Ni Wa Juu, Mimi Ni Wa Juu song, Mimi Ni Wa Juu MP3 song, Mimi Ni Wa Juu MP3, download Mimi Ni Wa Juu song, Mimi Ni Wa Juu song, Mimi Ni Wa Juu Mimi Ni Wa Juu song, Mimi Ni Wa Juu song by Joel Lwaga, Mimi Ni Wa Juu song download, download Mimi Ni Wa Juu MP3 song
Comments (173)
Top Comments (1)
Salome Alexck72g
New Comments(173)
John alistides
ok
nadhili tmm
nice❣
popcandy
kwa kwel mi ni wajuuu tu
sarah43fmp
mimi ni wajuu tu juu ssana ainuliwa tena
hii nyimbo kila nikikata taama nikiisikia tu najikuta nimepata tumain na simama upya barikiwa sana mtumishi
Regnold Maimu
ubarikiwe mtumishi wa MUNGU najihisi uwepo wa MUNGU ndani yangu
kelvinfynij
Amen
Faith Msaki
hakika ukiwa n MUNGU utakuwa juu 2
vivasE09
Amen
mariamphq8y
mimi ni wa juu mungu aendelee kunipigania
Angel Mbawala
mimi niwajuu mimini wajuu sanatu [0x1f623][0x1f636]
Recho Mbagacnvl1
mm niwajuuuuu
mim ni wajuu sana zaid ya mawimbi ubarikiwe mtumishi wa mungu>