- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Umbea umbea kati ya wakristo
Umetoka wapi twahubiri nini
Umbea manyumbani umbea kanisani
Fitina masengenyo acheni kabisa
Umbea umbea umbea umbea
Kati ya wakristo acheni umbea
Shughulikieni yenu acheni uzushi
Mambo yasiyofaa acheni kabisa
Kanisani leo hata nashangaa
Mbona watu waenda kuzusha umbea
see lyrics >>Similar Songs
More from JEMMIMAH THIONG'O
Listen to JEMMIMAH THIONG'O UMBEA MP3 song. UMBEA song from album ALINITUA is released in 2024. The duration of song is 00:05:00. The song is sung by JEMMIMAH THIONG'O.
Related Tags: UMBEA, UMBEA song, UMBEA MP3 song, UMBEA MP3, download UMBEA song, UMBEA song, ALINITUA UMBEA song, UMBEA song by JEMMIMAH THIONG'O, UMBEA song download, download UMBEA MP3 song