
Kama Si Wewe
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kama Si Wewe - Kibonge Wa Yesu
...
Bwana nimetambua wanipenda kweli wanipenda
nyakati zote Mungu wangu upo namimi unanilinda
palipo giza waniangazia nuru niweze kupita
nahapa nilipo nakiri si kwa uweza wangu nakataa
niwewe umenisitiri madhaifu yangu umebeba
nikweli nimetoka kwenye familia duni sana
hukutazama hilo wala mazingira ukanipa heshima
Bwana upendo wako wadumu
haujawahi fika ukomo
silipii uhai kwa kununua vocha wala kama umeme wa luku
see lyrics >>Similar Songs
More from KIBONGE WA YESU
Listen to KIBONGE WA YESU Kama Si Wewe MP3 song. Kama Si Wewe song from album Kama Si Wewe is released in 2023. The duration of song is 00:03:40. The song is sung by KIBONGE WA YESU.
Related Tags: Kama Si Wewe, Kama Si Wewe song, Kama Si Wewe MP3 song, Kama Si Wewe MP3, download Kama Si Wewe song, Kama Si Wewe song, Kama Si Wewe Kama Si Wewe song, Kama Si Wewe song by KIBONGE WA YESU, Kama Si Wewe song download, download Kama Si Wewe MP3 song