![Kama Si Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/08/53ddff6f4f1b4a1d97885d7955ef9f47_464_464.jpg)
Kama Si Wewe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kama Si Wewe - Kibonge Wa Yesu
...
Bwana nimetambua wanipenda kweli wanipenda
nyakati zote Mungu wangu upo namimi unanilinda
palipo giza waniangazia nuru niweze kupita
nahapa nilipo nakiri si kwa uweza wangu nakataa
niwewe umenisitiri madhaifu yangu umebeba
nikweli nimetoka kwenye familia duni sana
hukutazama hilo wala mazingira ukanipa heshima
Bwana upendo wako wadumu
haujawahi fika ukomo
silipii uhai kwa kununua vocha wala kama umeme wa luku
Bwana upendo wako wa dumu haujawahi fika ukomo silipii uhai kwa kununua vocha
wala kama umeme wa luku
hivyo baba najiuliza
Kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
ningeshapotea
kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
Bwana kama siwewe
kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
Yesu kama siwewe
kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
Niwewe Umenibeba
Rehema bure na neema
samaha nalo umenipa
umenifungua kwa karvari
mambo yote umeweka shwari
kama dhabihu
ulijitoka kwa ajili yangu
sinabudi kukushukuru
kwa yake yote umefanya kwangu
nikweli nimetoka kwenye familia duni sana
hukutazama hilo wala mazingira ukanipa heshima
Bwana upendo wako wadumu
haujawahi fika ukomo
silipii uhai kwa kununua vocha wala kama umeme wa luku
Bwana upendo wako wa dumu haujawahi fika ukomo silipii uhai kwa kununua vocha
wala kama umeme wa luku
hivyo baba najiuliza
Kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
ningeshapotea
kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
Bwana kama siwewe
kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
Yesu kama siwewe
kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
hivyo baba najiuliza
kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
Ningeshapotea
kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
Bwana kama siwewe
kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
Yesu kama siwewe
kama siwewe ningekuwa wapi kama siwewe
ni wewe umenibeba
Kibo melodizer