
Namna Gani
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nitakushukuru namna gani we? (How will I give thanks to You?)
Nitakushukuru namna gani we? (How will I give thanks to You?)
Nitakushukuru namna gani we, Baba? (Father, how will I give thanks to You?)
Baba, Oh weh, oh weh, namna gani? (Father, Oh weh, oh weh, how?)
Kama ni uzima, umenipa kwa bure (If it life, You gave me for free)
Kama ni ulinzi, umenipa kwa bure (If it protection, You gave to me freely)
Kama ndiyo pumzi, umenipa kwa bure (If it breath, You gave to me freely)
Oh weh, oh weh, namna gani weh (Oh weh, oh weh, how?)
Maisha yangu yote, mikononi mwako Mungu we (All my life is in Your hands, God)
Uzima wangu wote, mikononi mwako, Masiya (All my salvation is in Your hands, Savior)
Kushoto na kulia, uko na mimi, Yahweh (Left and right, You are with me Lord)
Oh weh, oh weh, namna gani weh (Oh weh, oh weh, how?)
see lyrics >>Similar Songs
More from KIBONGE WA YESU
Listen to KIBONGE WA YESU Namna Gani MP3 song. Namna Gani song from album Namna Gani is released in 2022. The duration of song is 00:03:50. The song is sung by KIBONGE WA YESU.
Related Tags: Namna Gani, Namna Gani song, Namna Gani MP3 song, Namna Gani MP3, download Namna Gani song, Namna Gani song, Namna Gani Namna Gani song, Namna Gani song by KIBONGE WA YESU, Namna Gani song download, download Namna Gani MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
emmy 9ks04
Flavian4wah5
blessing! blessed
Gonniewrote ai1wn
wooooooooow wonderful amaizing song make me to feel good
juddynmtnk
i love this [0x1f60d]
137794146
nice song
Nice song