
Niseme Nini Basi
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Niseme Nini Basi - Catholic Church Songs
...
{ Niseme nini basi juu ya mama Yetu Maria
(Mama Bikira Maria)
Mama mpendelevu mama mwenye neema } *2
Wakati wa majaribu, mwombezi wetu ni Maria (Mama yetu)
Wakati wa mashaka kimbilio letu ni Mama (Maria)
Mama uliyeumbwa, pasipo dhambi ya asili
Ukamzaa mwanao mkombozi wa walimwengu
Moyo wako wa heri moyo safi moyo mweupe
Nijalie neema nishinde majaribu yote
Mama wa Mkombozi mnara wetu wa Mbinguni
see lyrics >>Similar Songs
More from Catholic Church Songs
Listen to Catholic Church Songs Niseme Nini Basi MP3 song. Niseme Nini Basi song from album Niseme Nini Basi is released in 2023. The duration of song is 00:04:44. The song is sung by Catholic Church Songs.
Related Tags: Niseme Nini Basi, Niseme Nini Basi song, Niseme Nini Basi MP3 song, Niseme Nini Basi MP3, download Niseme Nini Basi song, Niseme Nini Basi song, Niseme Nini Basi Niseme Nini Basi song, Niseme Nini Basi song by Catholic Church Songs, Niseme Nini Basi song download, download Niseme Nini Basi MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Bby _ floric
172003822
The song is too sweet
the song is so sweet