Nimeitika Wito
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimeitika Wito - Catholic Church Songs
...
Naskia sauti nzuri kama ya malaika ni sauti toka mbinguni sauti ya mungu aniita mimi niende nikamtumikie anitume shambani mwake nikavune yote umeniita nimeitika wito nakuja kwako leo najongea mbele zako bwana nipokeeni mi niko tayari nimeyaacha yote najikabidi kwako unitume popote na mi nitakwenda haraka*2 Ninaenda mimi naenda ninaenda mwenyewe ninaenda mbele za bwana sitarudi nyuma ndugu zangu na marafiki muniache niende nikafanye kazi ya bwana nitakapotumwa **back to chorus ** 3 Nilitazama moyo wako moyo wako mwanangu hata kabla hujakabidhi nilikuchagua nilikuteua mapema kazi ya ndugu zako umekua ni wangu mimi kuhani mkubwa **back to chorus ** 3 Shamba lake bwana ni kubwa na mavuno ni mengi wavunaji ndio wachache nitakwenda mimi ninakuomba sana eeh bwana nipeleke shambani nikavune mavuno yote yaliyo tayari **back to chorus **3 Uwe nami siku kwa siku wala usiniache unikinge na majaribu nimedhaliwa nipeleke habari ndefu ulimwenguni watu wote wakutambue **back to chorus ** 5
Similar Songs
More from Catholic Church Songs
Listen to Catholic Church Songs Nimeitika Wito MP3 song. Nimeitika Wito song from album Nimeitika Wito is released in 2023. The duration of song is 00:06:44. The song is sung by Catholic Church Songs.
Related Tags: Nimeitika Wito, Nimeitika Wito song, Nimeitika Wito MP3 song, Nimeitika Wito MP3, download Nimeitika Wito song, Nimeitika Wito song, Nimeitika Wito Nimeitika Wito song, Nimeitika Wito song by Catholic Church Songs, Nimeitika Wito song download, download Nimeitika Wito MP3 song
Comments (10)
New Comments(10)
Nyangoma Rosemaryed40a
im not a catholic but their songs are a vibe. i really love to listen to then and how they dance
Jozee2024
nzuri sana
sr752762
loving song
agent48
im not a catholic but their songs are a vibe. i really love to listen to then and how they dance
KEREU HESBON
[0x1f641][0x1f641]
Christine Akinyi Lukale
proud to be Catholic
osceybisman
Nice song [0x1f641]
Janet Mutuvi
nice song
Edith z4fx6
nice song i like it
0702429724
[0x1f630]i like it
wow