Sisi Sio Marafiki
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Sisi Sio Marafiki - Motra The Future
...
sisi sio marafiki linapokuja swala la ridhiki, sisi sio marafiki ouh ouh
hakuna urafiki linapokuja swala la ridhiki, sisi sio mrafiki yeah ouh ouh
Hatuwezi kuwa marafiki coz love imepotea, hatuwezi kuwa friends eti kisa tunaongea, kisa kuna kitu tunashea hatuwezi kuwa kwa sababu kila siku ni hakuna fair
nimefanya hivi juu ya shabiki mmoja hivi mwenye mdomo ambae nahisi hanijui vizuri kua mi ni konya, beats zenu wiki hazijaenda na zina promo, nimekuja nikaona acha niwapush kwa mikono
naskia minong'ono niingie ulingoni kuzipanga labda utakua umenisahau mi sikuchani nakunanga na nakukanda ukiinama napanda hadi mwisho wa siku we mwneywe itakubamba.
(sio marafiki)
see lyrics >>
Similar Songs
More from Motra The Future
Listen to Motra The Future Sisi Sio Marafiki MP3 song. Sisi Sio Marafiki song from album Sisi Sio Marafiki is released in 2023. The duration of song is 00:08:24. The song is sung by Motra The Future.
Related Tags: Sisi Sio Marafiki, Sisi Sio Marafiki song, Sisi Sio Marafiki MP3 song, Sisi Sio Marafiki MP3, download Sisi Sio Marafiki song, Sisi Sio Marafiki song, Sisi Sio Marafiki Sisi Sio Marafiki song, Sisi Sio Marafiki song by Motra The Future, Sisi Sio Marafiki song download, download Sisi Sio Marafiki MP3 song
Comments (12)
New Comments(12)
Deleted User
Andersonzjq1i
big up bro
Deee15f9
Bora umerudi..!
young eazy8q3e5
wachaneee waache kulala unachangamsha ssana game A TOWN ON TOP
ramadhan0egx5
onaiyonamba utakaa
154485531
Kwakwel umetisha motra
Alex Uchai
ngoma kali Motra
miraj Nizer
humuez rapcha ww
Yuzo O'clock
oiii mbn unauwa san
Vision osw6q
rudia tena Mex
mr_london
gongaa like kama unamkubali mwanetu motraa #king of dis track
Lawizo_360
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]kwa diss track umeshindikana hakuna wa kukuzuia [0x1f602][0x1f602]
hii kali