- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Hautaki - Motra The Future
...
Gigi mamba on the beat
Ndoto zako zilikua kuzaliwa ulaya
Umezaliwa nchi hautaki
baba hautaki na mama hautaki
hata Kaka na dada zako wote hauwataki
Maana wanamaisha ambayo wewe hautaki
umezungukwa na majirani ambao hautaki
Ghafla unaanza kukua Ile life hautaki
Unajikuta unapelekwa shule Ile hautaki
unapata marafiki wale wenye hautaki
see lyrics >>Similar Songs
More from Motra The Future
Listen to Motra The Future Hautaki MP3 song. Hautaki song from album Hautaki is released in 2021. The duration of song is 00:03:04. The song is sung by Motra The Future.
Related Tags: Hautaki, Hautaki song, Hautaki MP3 song, Hautaki MP3, download Hautaki song, Hautaki song, Hautaki Hautaki song, Hautaki song by Motra The Future, Hautaki song download, download Hautaki MP3 song
Comments (10)
New Comments(10)
Dr Kyungai
adolph mulemba
[0x1f601]...!!!
fred williamhjb8c
ni wale autaki
gardinho
brother amekua wamoto san.. nakubal
Adam f7rgn
hautaki
Adam f7rgn
hakuna msanii namuelewa kwa hii game ya rap round hii kama motra [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Prince wa kigoma
hautaki
Dendenxsgr
Kupokea simu hautaki, kujibu message hautaki. Naona mstari huo ulisahau
Dendenxsgr
You can block me everywhere but accounts are free to Open. Unajiita mtoto wa Mungu kumbe mhuni kama wenzako ambao nitawaumbua. Mnapenda mteremko na kuwatumia madirector alaf ukimaliza shida unablock. Letting the world know the real you as the Director of weupe so that usiwafanyie ujinga huu madirector wengine #wemove #2022
Kitogo21khan
humuu umenifanya nicheke cheko ambalo hautaki
naqbal "hautaki"