
Nalivua Pendo
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nalivua Pendo - Mwasiti
...
leo nalivua pendo nililopenda zamani
nabadili wangu mwendo nani niwe furahani
nimechoshwa na skendo vita na purukushanii
kweli asojua pendo apendapwo hapaonii
nilimpa kwa kishindo penzi lote la moyoni
raha na wingi uhondo sikumnyima mwandani
ameyavunja kwa nyundo mwenzenu sikuamini
leo nalivua pendo irudi yangu thamanii
.........................
(chorus)ada ya mja hunena uungwana ni kitendo huuu
see lyrics >>Similar Songs
More from Mwasiti
Listen to Mwasiti Nalivua Pendo MP3 song. Nalivua Pendo song from album Kamili is released in 2020. The duration of song is 00:05:58. The song is sung by Mwasiti.
Related Tags: Nalivua Pendo, Nalivua Pendo song, Nalivua Pendo MP3 song, Nalivua Pendo MP3, download Nalivua Pendo song, Nalivua Pendo song, Kamili Nalivua Pendo song, Nalivua Pendo song by Mwasiti, Nalivua Pendo song download, download Nalivua Pendo MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
mama zahri
Christian Felex
✌️✌️
Marry Mgovano
[0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e]
Nice song