Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Kuhusu wanawake na elimu siha/
Swala la hedhi huwezi kuacha kuligusia/
Na maswala kama haya kwenye hii dunia tulipo/
Huwezi kusema kwamba kuyazungumzia ni mwiko/
Yeah, yapaswa kujiuliza/
Ni kipi bora zaidi ya afya na uzima/
Iwe mashuleni iwe sehemu za kazi/
Wanawake hupata sana changamoto za usafi/
Kwenye midogo na vijiji/
Huko ndiko, kuna changamoto mara mbili/
Na hupelekea kushindwa kufanya kikamilifu/
Kazi na masomo ushiriki unakuwa hafifu/
see lyrics >>Similar Songs
More from Micshariki Africa
Listen to Micshariki Africa Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe MP3 song. Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe song from album Shule Na Shule (SnS) is released in 2022. The duration of song is 00:03:44. The song is sung by Micshariki Africa.
Related Tags: Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe, Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe song, Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe MP3 song, Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe MP3, download Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe song, Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe song, Shule Na Shule (SnS) Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe song, Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe song by Micshariki Africa, Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe song download, download Moja Nyingi ft. Adam Shule Kongwe MP3 song