Kuza ft. Adam Shule Kongwe
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Haijalishi kwamba uko level gani ya kimasomo
O level, advance au chuo flani unasoma
Unajengwa kuajiriwa uje upate kazi nzuri
Ni vizuri tena soma kwa usongo na ukaze msuli
Kila hatua piga mabanda na high marks
Pepa zijae pass kuwa mjanja like that
Kimbiza ndoto zako za nataka kuwa nani
Ila chkua mbili tatu kabla ya kuja mtaani
Nakupa moyo kuwa mitkasi itatiki
Ila siwezi kukudanganya kuhusu hali ya nchi
see lyrics >>Similar Songs
More from Micshariki Africa
Listen to Micshariki Africa Kuza ft. Adam Shule Kongwe MP3 song. Kuza ft. Adam Shule Kongwe song from album Shule Na Shule (SnS) is released in 2022. The duration of song is 00:02:38. The song is sung by Micshariki Africa.
Related Tags: Kuza ft. Adam Shule Kongwe, Kuza ft. Adam Shule Kongwe song, Kuza ft. Adam Shule Kongwe MP3 song, Kuza ft. Adam Shule Kongwe MP3, download Kuza ft. Adam Shule Kongwe song, Kuza ft. Adam Shule Kongwe song, Shule Na Shule (SnS) Kuza ft. Adam Shule Kongwe song, Kuza ft. Adam Shule Kongwe song by Micshariki Africa, Kuza ft. Adam Shule Kongwe song download, download Kuza ft. Adam Shule Kongwe MP3 song