![SOGEA SOGEA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/26/4bcb4d3614ce46f79fc85f6da60ee067_464_464.jpg)
SOGEA SOGEA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
SOGEA SOGEA - Ray C
...
Siku ya kwanza uliponitokea
Nilishindwa ata kujizuia
Karibu nawe nikakupitia
Aya nguvu nikakutolea
Tabasamu ukaliachia
Viungo vyote vilinilegea
Pale nawe uliponiitikia
Maungo yote yakasisimka
Nimeshakupenda nimekuzimia
Sijiwezi tena ata kusogea
Sogea sogea we cheza nami
Ninapokutazama mi upata raha
Husitazame pembeni jua you're my man
Husitazame pembeni jua you're my man
Sogea sogea we cheza nami
Ninapokutazama mi upata raha
Husitazame pembeni jua you're my man
Husitazame pembeni jua you're my man
Ebu nitazame ninavyoumia
Naomba useme umenipokea
Nataka niwe nawe katika dunia
Nakupenda sana sitakuachia
Ukweli wangu nimeshakwambia
Penzi kikohozi dawa naijua
Ukweli wangu nimeshakwambia
Penzi kikohozi dawa naijua
Njoo nibembeleze nakuaminia
Nipe raha baby nimekuzimia
Sogea sogea we cheza nami
Ninapokutazama mi upata raha
Husitazame pembeni jua you're my man
Husitazame pembeni jua you're my man
Sogea sogea we cheza nami
Ninapokutazama mi upata raha
Husitazame pembeni jua you're my man
Husitazame pembeni jua you're my man
Come to me baby boy
I wanna hold you kiss me nakutakataka
Come to me baby boy (yee)
Nakutamani ninakuhusudu
Niwe wako baby nipe nipe mambo
Come to me baby boy (yeeeah)
Sogea sogea we cheza nami
Ninapokutazama mi upata raha
Husitazame pembeni jua you're my man
Husitazame pembeni jua you're my man
Sogea sogea we cheza nami
Ninapokutazama mi upata raha
Husitazame pembeni jua you're my man
Husitazame pembeni jua you're my man
Njoo nibembeleze nakuaminia
Nipe raha baby nimekuzimia