![Mapenzi Yangu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/15/36/rBEehltExPmAGvTGAACYgSqxU38942.jpg)
Mapenzi Yangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Mapenzi Yangu - Ray C
...
mapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
mapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
mapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
Penzi Lina Raha yake asiejua ni nani *2
Penzi mfano wa pete uvaapo kidoleni*2
Mapenzi Matamu niwapo nawe mpenzi sioni mwengine wakufanana naww, nitalienzi penzi lako sitokuacha asilan