Umenikataa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Umenikataa - Ray C
...
umenikataa bila sababu umeninyanyasa bila aibu
nimepata mwengine tabibu sasa wanifatafata nini×2
kama ni pendo langu nilikuupa lote nilikujali kwa kila kitu na kukupa mahaba yoote
sikudhani ungenidharau na kuniletea wengine
sikudhani ungenigeuka na kuanza kuninyanyasa wee
Pesa na magari yako yalikufanya uwe kiburi uliniacha ukaenda zako na kusahau utu wako penzi langu hukuthamini ukaniacha na majonzi
Nimebadilika nini wanifata mimi wa nini?
umenikataa bila sababu umeninyanyasa bila aibu
nimepata mwengine tabibu sasa wanifatafata nini×2
€kama ni maji yakisha mwagika hayazoleki na kama ni nyumba unatafuta imeshapata mpangaji
Nala vyangu na mpenzi wangu ya nini kunisumbua ee
dharau zako na mikogo yako sitaki kuvisikia eee
Nimekupa nafasi yako ukachezea muda wako sasa starehe zangu waziona wivu wa nini kubembeleza hakuishi watu wamesaza mapenzi nimebadilika nini wanifata mimi wa nini
umenikataa bila sababu umeninyanyasa bila aibu
nimepata mwengine tabibu sasa wanifatafata nini×2
Aaaaa a aaaaa a aa aaaaaaa
wani×6 wanifata waniiii
wani×6 wanifata waniii
umenikataa bila sababu umeninyanyasa bila aibu
nimepata mwengine tabibu sasa wanifatafata nini×2
umenikataa bila sababu umeninyanyasa bila aibu
nimepata mwengine tabibu sasa wanifatafata nini×2