Kama Vipi (Mez B & Noorah Remix) ft. Mez B & Noorah Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Kama Vipi (Mez B & Noorah Remix) ft. Mez B & Noorah - Ray C
...
rayc "kama vipi nataka kwenda nawe ×
nenda kajiandae
twende wote tamashani
hny twende tuka play
tabia hio namba usiniletee jua mi siwenzi kwenda nawe tafuta mwengine
wako wengi mtaani haizekani mi kwenda nawe
kama vipi nakubali mchumba