Nguvu ft. Mapanch BMB Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Nguvu ft. Mapanch BMB - Young Chii
...
Yeah
Its Young Chii Roccana..
Yeah..
(Yeah Yeah)
Yeah
Siku hizi chura ndio nguvu ya demu..
Sina uhakika kama kiki ndio nguvu ya game..
Najua siwezi shine bila nguvu ya beat..
Miaka thelathini jela ndio nguvu ya denti..
Kunyuka pamba nguvu ya bitozi..
26 number ndio nguvu ya Nyandu Tozzy..
Nyauuu ndio nguvu ya paka..
Speed na chochoro ndio nguvu ya kibaka..
Eti papa ndio nguvu ya Giggy..
Halafu kombe si ndio ya ligi..
Pesa ndo nguvu ya mapenzi..
Kupeti bila pesa hiyo ni nguvu ya kishenzi..
CSA ndio nguvu ya ROCCANA..
Beat kama hili si ndo nguvu ya kuchana..
Aslay alishine,nguvu ya Umma..
Sijui ma-six pack hiyo ni nguvu ya chuma..