Log Out ft. Fad P Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Log Out ft. Fad P - Young Chii
...
Intro
JIANGALIIIE!
“Wa Ya see
Young Chii”
Yeaah ts Young CHII Roccana..
Eyoo Mesen
(MESEN SELEKTA)
VERSE 01(YOUNG CHII)
Nalog out,kwenye mishe za kijinga..
Me ni star,so nalog out kwenye mishe za kuringa..
Kutembea kwa miguu
,Nalog out nina ndinga..
Nalog out kwenye mishe zote za kuvimba..
Log out kwenye mishe mishe mishe za udananda..
Sista duu kufanya kulog out kwenye mishe za kudanga..
Jenga kwako meen..Log out nyumba za kupanga..
Acha ushirikina log out kwenye wanga..
Sirudi teeena..nalog out kwenye uzinzi..
Nachapa kazi nalog out kwenye wizi..
Easy!Para kama Mr Blue bizz..
Nalog out viduku ili mishe ziwe easy..
Yeah
CHORUS (FAD P)