K.K.K.D (Kibabu Kichawi Kwenye Dundo) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
K.K.K.D (Kibabu Kichawi Kwenye Dundo) - Young Chii
...
Yeah,Its Young Chii Roccana..
Papa!!
Aah,hii haina One,Two..
Nikikupa hela sikai juu..
Rap ScoobyDoo..
Hapo chorus no Erykah Badu..
Jichanganye njoo usawa huu..
Tia guu..
Ufundishwe namna ya kuwa mpole mehn kuwa cool..
Can I have little Mercy kwa hawa rappers..
Malalamiko yamekuwa mengi wanatapa tapa..
Nini nataka..
Waniite dingi ama waniite kaka..
Nasikia siko sawa,nakuwaga tu nikitaka..
Blow some candles for Mangwear..
Bendera ipo juu East Zoo is on air..
Sijawahi lala njaa tangu nizijue pair..
Mnawapa bichwa hawa marapa en I ever care..
Feeling like,am on ma ligue of ma own..
Huku magwiji tu,hao wakali wako hatuwaoni..
Hizi swagger ziko on..
Jichanganye timba on my zone..
I'll be like Okay! Okay! Okay
This sh*t is gone..
Skiiza..
Punchlines ndo slogan..
Utayanywa soon we mzee koroga..
Zimepita kama upepo yan fyuu! Zimedoda..
Na kama ukilifeel hili goma lipe mojaa..
Kibabu Kichawi Kwenyе Dundo..
No matter what,cha msingi pesa kwa Kibindo..
Haha,tuko peacе no beef bro..
Njaa huwa nashinda huwa sitoi droo
Kibabu Kichawi kwenye Dundo..
Kibabu Kichawi kwenye Dundo..
Yeah..
Its Young Chii Roccana
Kibabu kichawi kwenye Dundo,Yeah