Nisome ft. Papa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Nisome kama Ngwair nkiwa na freestyle..
Nkiswitch flowz Zizi..au nisome kama Baba Style..
Magufuli in ma veins au nisome kama JPM..
Na toka umesepa huku mambo hayako the same..
Nkiflow ni sauti ya radi so nisome kama Mpenja,..
Flow ni black tupu so nisome kama Zinja..
Mwana mwenye Falsafa so nisome kama FA..
Chuo kikuu ya Ghetto so nisome kama Prof Jay..
nisome kama Mchomvu, mashavu kwa wana..
Ukiona Chii haikubambi we ni nisome ka Roccana..
Rhymes zimeenda shule usizisome ka udaku..
Me ni baba afu nko levels so nisome ka Mwijaku..
Nasambaza neeeeeeews, nisome ka Millard Ayo..
We nisome usipoelewa gusa link kwenye bio..
Nkitoka mtanisoma kama Chibu Dee..
Nakuchapa afu naslide,nisome kama Kibu dee..
yeah!
Kwani we unanisomaje..
Unanisomaje..
Unanisomaje..
Unanisomaje..
We unanisomaje..
Unanisomaje..
Unanisomaje..
Unanisomaje..
Fanya unisomeee!
{Nisome}
We Fanya unisomeee!
{Nisome}
Skuli sikuwa wa pili sikuwa mbishi so nisome kama Nikki..
Ukiona sieleweki usinisome kama vipi..
Nisome kama.. Konde Boy Mjeshi…navokaza..
nisome ka Majizzo akili kubwa navyowaza..
Pesa mingi mtanisoma kama Mo..
Dewji au GSM,japo Chii sio Mall..
Life limefanya niwe Sugu so nisome kama Mr 2
Am good kwenye hii sound nisome kama Tudd..
Nachora bars ka story nisome ka Shigongo..
Nisome kama Kiba King hz fleva za Bongo..
Niko na busara iko pure Nisome kama Salum Waziri..
ama Wakazi hiyo mijadala nnavyoi-kill..
Kwenye Rap me streika Maulid Kitenge..
unagwaya nichambue kama salehe jembe..
Yeah, Am Straight outta Tanzania..
So nisome kama mtoto wa Samia..
aminia..
Kwani we unanisomaje..
Unanisomaje..
Unanisomaje..
Unanisomaje..
We unanisomaje..
Unanisomaje..
Unanisomaje..
Unanisomaje..
Fanya unisomeee!
{Nisome}
We Fanya unisomeee!
{Nisome}
Nisome kama Joseph Kusaga navyowafungulia dunia..
simulizi kwa hii sauti SkyTanzania..
Niki-select ujue ni kitu so nisome kama Mesen..
Au nisome ka Nahreel kwa hii midundo huwezi mess mehn!
me ndo rais wa kitaa so nisome kama Ney..
Au nisome kama MR.Blue japo no tuzo,No waay!
Kwenye rap game me ni Big Man nisome ka Fid
Greatest of All Time we nisome kama Chid..
So N. I. S .O .M .E
Naspit Bars kwa hii style nisome kama Young CHii.