Kare ft. Mimmo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2001
Lyrics
Kare ft. Mimmo - P-Unit
...
P-Unit:KARE
Verse 1
Yeah,,,aah manze nilipatana na uyu dem
Akanisho hakuna mahali si wakali Huh!
So,,nikampeleka deci mall
Nikapatana na P-Unit
Alafu Musyoka akanipea hii track
Twende kazi
Frasha me mkali!!
Nilianza muziki tu na nakitari
Akashikanisha tu na daktari
Si unajua Frasha anakuanga Daktari
But Mtaani,,me Ni ordinary
Si wa geti Kali
Boss Ni mnari
Ndo maana tu hubang'
Twashinda tu makelele
Wanataka mpango tu wa kando
Ati niwadai
Boss hey...Nishamarry
Niko tu mdogomdogo tu kwenye gari
Mmh huh ,,si usare
Nikisonga mbele wako palepale
Palepale,,, palepale
Si tuko kwenye club tunaparty party
Palelezo yaani palepale
Narusha mizuka palepale
Chorus
Maishani mwangu.....(maishani mwangu)
Sijampata mkali mkali mkali
Maishani mwangu...(maishani mwangu)
Sijamwona mkali mkali mkali (maishani mwangu)
Verse 2
Daylight Jemedari mkali
Mistari jenerali Kare
Jenerali tangu kale kare
Kikundi serikali yaani
Serikali tangu kale (kale)
Haijalishi kale gani(gani)
Kazi zote kali kali(Kali)
Nakatika ile hali Kali
Cut n carry in a hurry gari
Carry forward carry Francis harry(hali)
Safari za mbalimbali Carried
Biashara mbalimbali Kare
Hatuchoki na hii safari Kare
Sauti za kinyumbani Kare
Wekelea patafakare Kare
Ya Daktari yani Kare
Chorus
Maishani mwangu.... (maishani mwangu)
Sijampata mkali mkali mkali
Maishani mwangu....(maishani mwangu)
Sijamwona mkali mkali mkali
Maishani mwangu
Verse 3
Buganya mimi Nina swali(Swali)
Madada kibao...wote shwari(shwari)
Wana miaka mbele yangu na ni sare
Wanataka kuleta noma
Na kucheza ngwari
Uh ebu kuja nje kuna mbwa Kali
Nyumba ndani uko pata bibi Kali
MKali uh mkali uh mkali uh
Na sio mkale Kare
Nimeng'ara kali gari gani Toka kale
Nimechapa watoto wale wale bado kale
Kama umeshindwa basi Leta tule
Enda uongeze tulee ndo me nikule
Kuja turerembe ture tuko rembe
Wenye wako kwa menu wanataka rembe
Wanakaa wanakatika kama wembe
Watu wa Bei ebu cheki nganya kitambi
Chorus
Maishani mwangu...(maishani mwangu)
Sijampata mkali mkali mkali
Maishani mwangu....(maishani mwangu)
Sijamwona mkali mkali mkali
Maishani mwangu.....
Outro
Maishani mwangu... wangu wanguuu
(Sijampata)eeeh.... eeeiiiyyyeiyyyy
Maishani mwangu,,,,(maishani mwangu)
Sijampata mkali mkali mkali
maishani mwangu...(maishani mwangu)
Sijamwona mkali mkali mkali
Maishani mwangu