![Hapa Kule ft. Nonini](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/09/00/rBEeNFgi6GOATbGYAAD7dbKUE5I106.jpg)
Hapa Kule ft. Nonini Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2001
Lyrics
Hapa Kule ft. Nonini - P-Unit
...
Maajabu ya Jah Jah na Godfather
Mi niko apa bado baada ya miaka kumi
We uko nyuma kule unahitaji usumbe
Strategy ndo jina jo ya hii mchezo
Jamaa mmedoze kwani hamnaga uwezo
Ya kuthink badala ya kuwaste ink
Video ata hazinaga ma lipsync
Msupa Lady Bee akaletwa na Wagenge
Ye ndo sauti ya utu tudem tunapiga kelele
Apa kule,chakula tamu,shika ule na ni bure
Shika ule na ukumbuke usisumbuke ukumbuke
Next time nikikuona umesimama katikati ya Jamii,watiaji..na wasanii
Kumbuka akili iko mbele kuliko hao wote madwa.. madwa...madwanzii
Maisha yangu siku izi hapa kule
Toka shule toka town mpaka Athi
Mpaka Macha,hapa kule
Mi ni yule yule yule hustler
Nasaka ganji hapa kule
Familia nayo kule
Kutoka Kitee mpaka Kilee
Kutoka nyuma mpaka mbele
Mafans bila kelele kwenye klabu
Hapa kule kwenye klabu
Hapa kule twende kazi
Hii story sio sana na sio poa na
Matime niko juu matime niko down
Matime niko hapa kule
Namshukuru Mola yule
P unit si tuko mbele
Tunakam na ngoma kali
Ka Mdoe nauliza swali
Nina kitu tamu ka asali
Juu mi ni Gabu,mi ni Gabu
Ga Ga Ga Ga Gabu Gabu
We ndo Gabu mi ni Frasha
Aah siku izi huwezi kula tu
Hapa kule kamdudu kako tu
Hapa kule,we chunga vaa viatu
Juu ya kadudu
Ukirarua itabidi unajua
Kabla kuvua,chunguza tabia
Ka unampenda funga naye ndoa
Marafiki naishi nao poa
Wanafiki nilishawadondoa
Kimuziki najua nitatoboa oa oa..