Si Lazima ft. Nonini Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2001
Lyrics
Si Lazima ft. Nonini - P-Unit
...
Chorus
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
Verse 1 (Frasha)
si lazima tu-do
tunaweza kwenda kwanza kejani
twende baby tupate majani
leo hakuna cha kukaanga ndani
wacha niku-lick toka kwenye neck
back, lips, mpaka kwa hips
si ati kila saa nikiku-undress
si ati kila saa nitaku-caress
si ati kila saa ni mambo ya sex
si lazima, uh-uh, si lazima
najua baby wee unataka
pia mi matym huwaga nataka
lakini leo mazee mi sijiskii
ata mi mazee kichwa kinauma
tumbo pia naskia ikisokota
na kuna venye naskia kukaokota
Chorus
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
Verse 2 (Nonini)
ati naskia kukaokota
ngoja, ngoja, ngoja kwanza nivue hii mbota
si lazima tu-do
tunaeza enda jake tuka-chill tu
na huku mi naji-do
kwa korna nikikucheki tu
ka sijiskii jo
tunaeza bonga
wanasemanga mind ndio afrodisiac tosha
nikiangalia trao tu hivi nimetokwa
tuko story yako ishakuwa ngotha
itakuwaje jo story zikikatika
hii movie tunacheki jo manze ikiisha
kwanza hiyo mini umevaa manzee inanimaliza
nataka kugusa lakini jo sitaki
nataka kulala jo wee ushanivua shati
temptation kibao jo sina bahati
Chorus
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
Verse 3 (Boni aka Bon’eye)
karibia ma
karibia
pata tot
bamba pia
tayari
nishakuambia
sio lazima nitaingia
ni ile day ya kufurahia
hakuna cha ngono ni mziki na gauge
mimi na wee
hadi ngware
kata kiuno
kila kiuno
pata mdundo
ruka bed ma
ruka bed
manzee wanukia
mami wavutia
macho yako pia
pinduka tu
tingisha tu
angusha tu
weka juu aah
wacha tu
Chorus
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
si lazima tu-do
tunaeza enda home na tu-chill tu, boo
Outro (Gabbu aka Buganya)
dame
anachungulia
kile mi na-do anachanganyikiwa
ananiangalia
kile mi na-want anachanganyikiwa
anachungulia
kile mi na-do anachanganyikiwa
ananiangalia
kile mi na-want anachanganyikiwa