![Najuta](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/3D/D6/rBEeNFlTki2ANUNPAACfwxMvY5U854.jpg)
Najuta Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2010
Lyrics
Ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza
Ntamwelezaje eti bila yeye naugua
Ntamjulishaje kuwa roho yaumia
Ntamwambuaje eh kuwa mimiye najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye, ooh mimi najuta
Kukosana naye,kutengana naye
Kuachana naye, ooh mimi najuta
Nilitega sikio mtaana, kasikiza za wasengayanaji
Eti yeye na yule wana uchumbaji
Bila hata kujali
Au kuuliza maswali
Niliyaamini maneno nikamuuaga kwaheri
Miezi ni kadhaa as as
Nami nalia ah ah
Ningemrudia aha
Lakini nna tatizo ooh
Ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza
Ntamwelezeaje eti bila yeye naugua
Ntamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
Ntamwambiaje eh kuwa roho yangu yaumia
Mtamwambiaje eh kuwa mimiye najuta
Kukosana naye, Kutengana naye
Kuachana naye, ooh mimi najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye, ooh mimi najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye, ooh mimi najuta
Nilifunga virago vyangu vyote
Kuamua sitorudi kamwe
Kwani yeye na yule walinifahaisha
Lakini kila wasaa
Napata nikimwaza
Ningeyapuuza maneno tungeishi kwa raha
Miezi ni kadhaa ah ah
Nami nalia ah ah
Ningemrudia aha
Lakini nna tatizo ooh
Ntamwambiahe eti kuwa miye nampaza
Ntamwelezaje eh kuwa mimiye najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye, ooh mimi najuta
Kukosana naye, ketengana naye
Kuachana naye, ooh mimi najuta
Nnaye anipendaye
Na anifaaye
Lakini hata afanyeje
Halingani nawe
Naomba msamaha
Kwa kukukusoea
Wengi watasema
Usiku watalala
Ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza
Ntamwelezaje eti bila yeye naugua
Ntamjulishaje eh kuwa mimiye najuta
Kukosana naye, kutengana naye
Kuachana naye, ooh mimi najuta
Kukosana naye, kutnegana naye
Kuachana naye, kutengana naye,
--- www.LRCgenerator.com ---