Jali ft. Nyashinski Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Jali ft. Nyashinski - Sanaipei Tande
...
rangi ya mdomo kwenye shati ni na uhakika ile marashi sio yake bado aja kwangu kitandani akitaka tumbandane (i can't believe that shit), lisiti kila kitu mbili amejaa maalama kwenye mwili,bado aja kwangu kitandani akitaka tumbandane (i can't believe that shit), Hana mnale Hana mnala na sio siri na sio habari ,Hana mnale Hana mnala wala haficha sio habari ,niliambiwa akupendaye atakucheati hadharani, niliambiwa akupendaye atakustiri hadharani ,jaribu kunindanganya kama wanijali,( kama wanijali *2) (jali)*3 mmhh! (jali)*3 mmhh!
Yeah! yeah! yeah! ata saa ile sindanganyi unasema mh nandanganya, utaskiza aje na maskio yako ushazimba , na macho yako yanaona vitu na hakuna kitu unafanya , hapo ndipo tumefikana , nakuongelesha nikiona ukiona niko guilty na haimati kitu nitasema , ndani ya roho inaumizwa , naskia wivu nikiona wale wanapendana bila kudungushana , vile inafaa , vile unataka kufanya fanya leo leo kanapanda cheo cheo nipande kanashuka basi nitafute stagi ya maa yeah! jifanye kama unakaa pia utaniamini uone vile na kuchangia my .
jaribu kunindanganya kama wanijali eh! kama wanijali ,*2jali jali jali mmhh! jali jali jali mmhh!
never let u down, never will sanaipe na nyash to the chill out to chill out
Hana mnale hana mnala na sio siri na sio habari ,
Hana mnale Hana mnala wala hafichi sio habari
jaribu kunindanganya (kama wanijali,kama wanijali)*2 (jali) *3 mmh! (jali)*3 mmh! (jali)*3