Amina Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Amina - Sanaipei
...
aaaah aaaha aaaha aaaaha aaaha aaha...
.ooh mama
panguza chozi
si ya tafakari vita vya juzi
si kupenda kwangu kukuudhi illa tu jana haubagui
dada panguza chozi, sijitie lawama kwa uzushi
kwani vita kati ya mandugu si ya firauni,
wakati hauniruhusu mi,
kurekebisha yangu madhambi
Kwa hivyo nawaomba siku hii mnikumbukie mazuri
mi nataka mcheke siku ya mwisho
,usiwe mpweke mi bado niko
namshukuru mola kwa kuwepo
mi nasema amina..
(amina)
oooh mpenzi
panguza chozi
sijijaze chuki wewe moyoni
hasira hasara yote ya mwenyezi
ooh rafiki
panguza chozi
sijiumize kichwa wewe na maswali
yote nisamehe sana kwa kwenda bila mkono wa buriani
wakati hauniruhusu mi
kurekebisha yangu madhambi
kwa hivyo nawaomba siku hii
nikumbukie mazuri
mi nataka mcheke siku ya mwisho
usiwe mpweke mi bado niko
namshukuru mola kwa kuwepo..nasema amina
(amina)
oooh sina sina sina sina
nafasi nyingine ya kuwa na wewe
nasikitika mi naumia
lakini Nina Nina Nina Nina
shukrani moyoni
yakuwa miongoni mwa walonienzi mi
wakati hauniruhusu mi
kurekebisha yangu madhambi
kwa hivyo nawaomba siku hii
nikumbukie mazuri
mi nataka mcheke siku ya mwisho
usiwe mpweke mi bado nipo
namshukuru mola kwa kuwepo nasema amina
(amina)