![Ankula Huu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/3D/D5/rBEeNFlTkKKABPYsAAC3hr4TkMM863.jpg)
Ankula Huu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Ankula Huu - Sanaipei Tande
...
Alikua yuanipenda hapo zamani alipokua Hana
Na kile tulichopata ingawa haba tulikigawanya
Akapandishwa cheo maendeleo akaanza kunikaana
Akapata ndongo ndongo na mimi akanipa kisogo
Ikawa kwangu makelele kwake starehe
Kwangu matusi kwake mazuri
Nashaanga leo yuaniomba msamaha
Yuanimbembeleza yuanitendekeza
Yuaninyenyekea mimi
Nami sitodhubutu kumruhusu
Anihusu tena
Ankula huu, ankula huu
Ankula huu, ankula huu
Na hasara juu, uuh uuuh
Na hasara juu, uuh uuuh
Nilipoyangundua nikamuonya awachane nae
Akaniona punguani akanivalia mi miwani
Lakini mambo kaenda mrama (ah ah)
Bibi akaanza kutanga (ah ah)
Leo yuashika tamaa (ah ah)
Huku akiniandama (ah ah)
Ikawa kwake makelele kwangu starehe
Kwake matusi kwangu mazuri
Nashaanga leo yuaomba msamaha
Yuanimbembeleza yuanitendekeza
Yuaninyenyekea mimi
Nami sitodhubutu kumruhusu
Anihusu tena
Ankula huu, ankula huu
Ankula huu, ankula huu
Na hasara juu, uuh uuuh
Na hasara juu, uuh uuuh
Wanawake wezangu, halo haloo (eeeh)
Ukampikia, ukamwantalia
Ukamtumekia, ukambwangia
Hati leo oh pole
Sifanyi tena, nisamehe
Turudiane, tuwaze tena
Ukula we na sara juu
Wanasema kosa ni la kwanza
Mara ya pili ni kwa madharau
Ikiwa ntakurudia bwana
Nakusihi usinbwage bwaya bwaya
[mwanamume hana hadabu, mwanamume hana haya, atakakwenda kashikeshike mti, Kisha arudi papa hapa, kizungu twasema having your cake and eating it.]
(Ankula huu, ankula huu
Ankula huu, ankula huu
Na hasara juu, uuh uuuh
Na hasara juu, uuh uuuh) ×2