![SIOGOPI ft. MOSES ZAMANGWA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/21/49597577a90e4ca4902977252b80b65c_464_464.jpg)
SIOGOPI ft. MOSES ZAMANGWA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
SIOGOPI ft. MOSES ZAMANGWA - Paul Clement
...
Siogopi!! Kuchelewa
Sababu mungu wangu hachelewi wala hawai
Siogopi mateso yangu mana najuaa ohhh!!
Siogopi kufjarauliwa mana ndiko kunaponipa heshima yangu
Siogopi adui zangu mana majua ni adui wa mungu wangu
Siogopii hivi vita vyangu mana nivyo vinavyonipa ushindi wangu
Siogopiii siogopii siogopiii siogopii
………..instruments
Im jot afraidx4…….
Nmepewa mamlakaa ,,siogopi nge na nyokaa ntawakanyaga vichwa vyao hazitanidhuru sumu zaoo
Yaani maneno yaoo
Siogopi kitembea kwenye giza mana me ni nuru ninan’gazaa
Siogopii kusimama juu ya mlima mana najua siwezi sitirikaa. Sayyy
Siogopi moto moto sababu
Lazima nipite mimi dhahabu
Ili nisimame niwe imaraa niwe kinaraa
Siogopi moto…….
Niwee hodariii niwe jasiriiiiiiiiiii
Siogopiiiii !!! Ohhh ohhhh sogopi ohh ohh x3 ohh ohh
Siogopiiii ohh ohhh MUNGu yuko namii ohooo ohhh
Amenishika mkonoo ohh ohhh siogopiii
Ohhh x3 siogopiii
Ohh ohhh x3 siogopiiii
Ohhh ohhh x3 siogop iii
Ohhh ohhh x3 siogopiiii
………………..instrumen ts
Ohh ohh x3 siogopiiii
………
……….
…………