
NIMESAMEHEWA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
NIMESAMEHEWA - Paul Clement
...
NIMESAMEHEWA
adui naye anakazana
kunifanya nisisogee
Auaribu moyo wangu wa ibada (ooee!)
Uwe harufu mbaya kwa bwana
Kajenga kiburi ndani yangu kajaza uchafu
ndani yangu
Kajenga kaburi mbele yangu Ili nianguke
bila Kuona
kwanza alinikoshesha
Kisha kafanya mashtaka
Nionekane kuwa na makosa
kumbe nilisha samehewa x2
Adui yangu nikwambie
Mungu anasamehe
na kusahau
Unachoshitaki yeye hakijui
Unachoshitaki yeye hakumbuki x2
Nimesamehewa
Nimelipiwa deni
Mimi si mtumwa tena x2
Nimesamehewa
Nimesamehewa
Nimelipiwa deni
Mimi si mtumwa tena x2
Nimesamehewa
Kwa damu ya yesu x2
Nimekombolewa kwa damu ya yesu
Kwa damu ya yesu lile deni ninalodaiwa
Halipo tena x3
Ile hati ya mashtaka
Haiko tena x2
Nimesamehewa
Kwa damu ya yesu x3
Nimekombolewa kwa damu ya yesu
oooh Ndiyoo!!
kwa damu ya yesu kweli
Nimekombolewa kwa damu ya yesu
Lile deni ninalodaiwa halipo tena
ile hati ya mashtaka haipo tena