![FURAHA YANGU](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/21/49597577a90e4ca4902977252b80b65c_464_464.jpg)
FURAHA YANGU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
FURAHA YANGU - Paul Clement
...
Kuna ambacho kinanipa furaha
hata kama nikokosa pesa
ni zaidi ya vyote ninavyotaka
ni Bwana na furaha yangu
kuna ambacho kinanipa furaha hata kama nikilala njaa
ni zaidi ya vyote ninavyotaka ni Bwana na furaha yake
maana Bwana
ni furaha yangu
na furaha yake
ni nguvu yangu
ni zaidi ya vyote ninavyotaka
ni Bwana na furaha yake
Ooh maana Bwana
ni furaha yangu
na furaha yake
ni nguvu yangu
ni zaidi ya vyote ninavyotaka
ni Bwana na furaha yake
Kuna ambacho kinanipa amani
hata kama nikipata msiba
ni zaidi ya vyote ninavyotaka
ni Bwana na furaha yake
kuna ambacho kinanipa amani
hata kama nipata shida
ni zaidi ya vyote ninavyotaka
ni Bwana na furaha yake
maana Bwana
ni furaha yangu
na furaha yake
ni nguvu yangu
ni zaidi ya vyote ninavyotaka
ni Bwana na furaha yake
Ooh maana Bwana
ni furaha yangu
na furaha yake
ni nguvu yangu
ni zaidi ya vyote ninavyotaka
ni Bwana na furaha yake
Ooh maana Bwana
ni furaha yangu
na furaha yake
ni nguvu yangu
ni zaidi ya vyote ninavyotaka
ni Bwana na furaha yake
Ooh maana Bwana
ni furaha yangu
na furaha yake
ni nguvu yangu
ni zaidi ya vyote ninavyotaka
ni Bwana na furaha yake
Eehh maana Bwana
ni furaha yangu
na furaha yake
ni nguvu yangu
ni zaidi ya vyote ninavyotaka
ni Bwana na furaha yake
Ooh maana Bwana
ni furaha yangu
na furaha yake
ni nguvu yangu
ni zaidi ya vyote ninavyotaka
ni Bwana na furaha yake