- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Macho ya wengi yananifuata
Lakini kwako baby nimekwama
I want you here
I want you now
Nakutaka leo
Nataka kuzama
I want the life
Nataka time
Nataka uskize, skize
Mbona mimi na wewe
Is the reason reason I'm living free
I want you to listen, listen
Get the feeling
Breathe in
Baby your home
Uko nyumbani na mimi
Wacha Iwe iwe iwe
Wacha Iwe, iwe
Mimi na Wewe
Life is pretty
Life is short
Karibia give me more
Come on closer baby give me more
Urembo wako ni dua
Wengi wanatamani kujua
Ulishuka ama baby uliumbwa
Unanimaliza nguvu
Yawa Maiye denda
Mpenzi karibia nijue
Nijue mapenzi
Mapenzi ya kweli
Yawa Mpenzi karibia nijue
Nijue mapenzi
Mapenzi ya kweli