![Sioni](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/02/34d6142cd9c1401690638e1dd101a497H3000W3000_464_464.jpg)
Sioni Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Love yako iko moto
Love yako iko moto
Nikitazama tulipo toka mimi nawe
Najidai na
Mi nazama deep kwenye love yani we umeniwahi
Wamenishow na eti nikudump and i ask my self why
My oh my we ni my company yangu till i die
Popote utaponipeleka nita go
Cant lay my eyes to another mi nishasema no
Baby ooh
love yako imeniscore kumi bila and i know
nita go
Cant lay my eyes to another mi nishasema no
You trust me baby and you wont let go our love
Baby sioni nikikuacha sahi
Love yako iko moto
Me sioni nikikuacha sahi
Love yako iko moto
Baby sioni nikikuacha sahi
Love yako iko moto
Me sioni nikikuacha sahi
Oohh nooo
Naenjoy penzi lako in slow mo
Stress free maugomvi no more
We ni ticha wa malavi mi ni somo
I cannot deny that i love you mo
Ex zangu nawanyoosha
Kwenye status zangu huko wanakesha, Saa hii unawakomesha
Unanigusa Kuna Kuna, simamisha
Mapigo yangu ya moyo
Unanipa na sio mchoyo
Na pigo langu la gongoo
Kuna Kuna nakugusa, simamisha
Popote utaponipeleka nita go
Cant lay my eyes to another mi nishasema no
Baby ooh
love yako imeniscore kumi bila and i know
nita go
Cant lay my eyes to another mi nishasema no
You trust me baby and you wont let go our love
Baby sioni nikikuacha sahi
Love yako iko moto
Me sioni nikikuacha sahi
Love yako iko moto
Baby sioni nikikuacha sahi
Love yako iko moto
Me sioni nikikuacha sahi
Oohh nooo
Mapigo yangu ya moyo
Unanipa na sio mchoyo
Na pigo langu la gongoo
Kuna Kuna nakugusa, simamisha