Sio Type Yangu Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Ooh mi staki tuendelee staki twendele
Basi inatosha
Pia staki ujitetee staki ujitetee
Mi na we kwisha
We unafurahi mimi no
With a one sided love and i know
Moyo nauchosha
Japo nakukosha
Unataka kila kitu hutaki kukosa ah we
Mmhh, We sio type yangu
Mmhh, We sio type yangu
Mmhhmm, We sio type yangu
Mmhh
Mpaka ninywe pombe ama nivute
Ndo nikupe mapenzi ah we
Ukija unataka yote nikupe
Wakati Sina mapenzi nawe
We sio type yangu
We sio type yangu
We sio type yangu
We sio type yangu
We sio type yangu
Aaaii mama mama
Oouu, uuu
Najaribu kuudanganya nafsi yangu ila moyo hautaki
Eeeh
Muda mwingine mi nikikuita kwangu
Nafanya basi tu
Eeeh
Now i have to block your number
Tuachane tu mi nakuomba
Usinibembeleze we chimba
Nimechoka kuku to to
we sio type Yangu mmhh mmhh
We sio type Yangu aah weeh
Ukija we unataka yote nikupe
Wakati sina mapenzi nawe
We sio type yangu
We sio type yangu
We sio type yangu
We sio type yangu
We sio type yangu