Easier ft. Kinoti Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Si mapenzi ya kweli
Bali ni mtego
Si for a while nilishikwa na hisia za kishenzi
Na zilishika tempo
Na kusema ukweli
Niliona mambo
All the scars that I had
Ulinyunyizia chumvi
Didn't even care no
Niliyedhani nimependa namtafuta simpati
I gave you love and made you happy
Niliyedhani nimependa namtafuta simpati
I gave you love and made you happy
I hope it gets easier
Nikipendwa nipende tena
I hope it gets easier
Nikipendwa nipende tena
Nilikuja Nairobi juzi kufanya mziki (kufanya mziki)
Sikujua mitaa vizuri ukanionyesha wee (mpaka yote nimejua)
Mapenzi ikatake over (over over over)
Tukaanza sleep overs
You even took my jacket
And I gave you my heart ohh baby
Mdogo mdogo
Nasikia una wako
Na nilionywa husu madem wa kanairo
Lakini sikujali
Sababu penzi iliniandama
Nikakuwa kipofu (sioni sioni mbele)
Sikuona ikiwa maana
Niliyedhani nimependa namtafuta simpati
I gave you love and made you happy
Niliyedhani nimependa namtafuta simpati
I gave you love and made you happy
I hope it gets easier
Nikipendwa nipende tena
I hope it gets easier
Nikipendwa nipende tena
Have you ever been lost
In thoughts for too long
All I wanted was to make you happy
Make you smile
Baby make us marry
Umechagua kupakatwa
In the arms of another man
Mariba nilikupea
Saa hivi mwachongea mamaaa
Umechagua kupakatwa
In the arms of another man
Mariba nilikupea
Saa hivi mwachongea mamaaa