![Kichuna](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/3C/98/rBEeM1lKe8-AGzwtAACyUIWyr5c577.jpg)
Kichuna Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2004
Lyrics
Kichuna - Kidum
...
nakuomba mpenzi uniskize tafadhali baby tuliza moyo kwa kweli niko wako hiyo usiwe na shaka wewe kaa ukitabasamu mara tu ukiniona penzi letu halina kasoro mimi na wee 'tapendana kiroho
nakusihi
tuliza moyo sherekea, furahia penzi letu, baby cheza, imba mpenzi wangu, kichuna changu sherekea, furahia penzi letu, baby cheza, imba mpenzi wangu, kichuna changu niskize baby kwa makini
kwa kweli mimi nimekutamani
kilichoko mpenzi wewe nipe nafasi nikupe penzi hujawahi pewa nikuguse mahali hujawahi guswa kwa maana penzi langu halina doa kwa hivyo sasa tufunge ndoa tuishi pamoja milele sherekea, furahia penzi letu, baby cheza, imba mpenzi wangu, kichuna changu sherekea, furahia penzi letu, baby cheza, imba mpenzi wangu, kichuna changu oh mpenzi wangu skiza wito wangu siwezi kuhisi bila wewe oh kichuna changu songa karibu nami nikushike, nikubusu nikushike shike shike shike penzi letu halina kasoro kwa hivyo sasa tufunge ndoa tuishi pamoja milele baby sherekea, furahia penzi letu, baby cheza, imba mpenzi wangu, kichuna changu sherekea, furahia penzi letu, baby cheza, imba mpenzi wangu, kichuna changu