![Mapenzi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/3C/84/rBEeM1lKRdGACdLcAACubbWsyBE954.jpg)
Mapenzi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Mapenzi - Kidum
...
Huuuuuuhuuuuuuh
Heeeeeeeeeeeeh
Mapenzi yulu yulu
Kama ni mapenzi ya kuniuni kila saa
Yakunifanya mi kuliya
Nakama huridiki na mbona ujasema
Iliniwezelekee kabisa
Nilifanya mambo shwali
Nikiamini ukwangu na kukusifu kwa masasi
Ujali tena isiya zangu
Sijui tunapo kwenda
Lakini najua tulipotoka
kutoka sitoki nimetekwa unyaraa
kwacha siwezi kibarua nguumu
Nasema nini nitafanya uridike
Nimetekwa ndani kwa kitandao wa mapenzi
Basi nakuomba
uniteke tu bila mateso
Tazama nimezama ndani ya bahali
Kwa penzi lako
Siwezi kusonga mbele
Kurudi nyuma
Sielewiii
Aya mapenzi ya fujo hayafahi
Kama unanipenda jaribu kunipa raha
Mi nashanga watu wakisema
Eti tunapendana
Chapo tunatesezana
Nivizuri Mamie nyumba kuwa na siri
Lakini jaribu twulishe
Bila ivyo itakuwa mu chezo
Wakuigiza kwenye mambo my dear
Mimi sitaki mambo yakujifanya
Eti tunapendana tena tunatesana
uuuuuuuuuuuuuuh
Nimejaribu sana kujitowa ndani
(aaaaaaaannnnh)
Kila nikipanga napangua mwenyewe
(aaaaaaannnnhhh)
Natamani saana unge elewa ivyo
Mimi mateka
Mimi bumbafu
Kwa penzi lako
Nieleze ni lini nitakua Uhuru
Tazama nimezama ndani ya bahali
Kwa penzi lako
Siwezi kusonga mbele
Kurudi nyuma sielewiii
Aya mapenzi ya fujo hayafahi
Kama unanipenda jaribu kunipa raha
Jaribu baby
uuuhuhuuuuuuuh
Mambo yakunifanya bumbafu
hayifahi
Mambo yoyoyoyooooh
Hayifahiiiii
Jaribu baby
Nimejaribu saana kujitowa ndani
(aaaaaaaannnnnh)
Kila nikipanga napangua mwenyewe
(aaaaaaannnnh)
Natamani saana unge elewa ivyo
Mimi mateka mabusu kwa penzi lako
Nieleze ni lini nitakua uhuru
heeeeeeeeeeh
Aya mapenzi ya fujo hayifahii
Kama unanipenda jaribu kunipa raha
Jaribu baby iiiiiihhhh
Mambo yakunifanya bumbafu
hayifahiiiiiiii