Haturudi Nyuma Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Haturudi Nyuma - Kidum
...
Mpenzi... mpenzi...
Mpenzi wewe mpenzi wewe mpenzi wewe
Mpenzi wewe ee
Nieleze vipi mimi ntaeza kuishi bila wewe
Ukiniacha ukienda zako
Mpenzi wewe
Kama ni ukweli yale nasikia kwa majirani
Ya kwamba utakuja kuenda zako
Uliniahidi tutakua tukijadiliana kwa masawala yanaleta utata
Kwanini chini chini unanificha yanayokusinya lakini unatasema na majirani
Kwanini kandokando unanificha yanayokuudhi lakini unatateta na marafiki
Ukiniacha mi ntalia ukienda zako ntabaki naumia kama ungelijua uoga ninao kukupoteza ndio nasema
Babyyy nakuomba please ubaki nami
Nasema mpenzi nakuomba baki tujaribu tena tunayo nafasi ya kuanza tena tunayo nafasi ya kujikosoa (harurudi nyuma kamwe) *2
Juliana we
Watu wanasema kwamba karibuni wewe unaoa tena ya kwamba nianze kujipanga.
Si ukweli nimekataa
Ni tahadhari kubwa kwangu nao unanitisha sijui nilikosea wapi. Uliniahidi kama kila jambo lote la nyumbani ni muhimu kuliweka wazi.