- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Nadina - Tamasha Corporation Limited
...
Jua ni moto
Tena ni mwangaza ya dunia
Jua, maji, mwezi, nyota, upepo na udongo
Ni uzima wa binadamu
Nadina yooo
Nadina yoyo
Nadina yooo
Nadina yoyo
Tuombe mungu baba yoyo
Atuhurumie dhambi zetu mama
Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma
Hata we ni wa shetani jua yule alikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma
Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma
Hata we ni wa shetani jua yule alikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma
Samaki nyama, majani vidudu
Au dege ni uzima wa binadamu
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havisemi
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havisemi
Nadina yooo
Nadina yoyo
Nadina yooo
Nadina yoyo
Tuombe mungu baba yoyo
Atuhurumie dhambi zetu mama
Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu alikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee
Hata mara moja ujuma
Hata uko mwenye dhambi rudisha roho nyuma
Hata we ni wa shetani jua yuu alikuumba
Tumsifu mungu baba ee ee Hata mara moja ujuma
Samaki nyama, majani vidudu
Au dege ni uzima wa binadamu
Vinyanga udongo Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havi semiki
Vinyanga udongo
Kuchoma majani
Au vyote unapenda ee
Havisemi
Nadina yooo
Nadina mama
Rudisha mwili na roho nyuma mama
Mimi fasi niko hoi inagonga
Yee yee oh
Nadina yee yee
Unipe mapenzi yako yote ye yee
Yee yee oh
Nadina yee yee
Oh Nadina bibi ee