Kenya National Anthem Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Kenya National Anthem - Tamasha Corporation Limited
...
eeh mungu nguvu yetu,ilete baraka kwetu
haki iwe ngao na mlinzi,na tukae na undugu amani na uhuru,raha na tupate na ustawi.
amkeni nduguu zetu ,tufanyee sote bidii
na si tujitoe kwa nguvu,nchi yetu ya Kenya tunayoipenda ,tuwe tayari kuilinda
na tujenge taifa letu,eh ndiyo wajibu wetu
Kenya istahili heshima,tuungane mikono pamoja kazini,kila siku tuwe na shukrani