Malaika Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Malaika - Tamasha Corporation Limited
...
Malaika nakupenda Malaika
Malaika nakupenda Malaika
Naminifanyeje kijana mwenzio ,
Nashindwa na Mali sina we ,
Ningekuo Malaika
Kidege kukuwaza kidege ,
Kidege kukuwaza kidege ,
Naminifanyeje kijana mwenzio ,
Nashindwa na mali sina we we ,
Ningekuo kidege
Nashindwa na mali sina we we ,
Ningekuo kidege
Malaika nakupenda Malaika
Malaika nakupenda Malaika
Naminifanyeje kijana mwenzio ,
Nashindwa na Mali sina we ,
Ningekuo Malaika.