Shauri Moyo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Shauri Moyo - Tamasha Corporation Limited
...
utakalo fanya lakini kwanza shauri moyo wako
usitende jambo na kumbe huja shauri moyo wako
wataka kukopa milioni moja shauri moyo wako
wataka kuoa wake wanane shauri moyo wako
usiende jiua bure ati kwa madeni
ya nini ya nini ya nini ya nini ooh
usiende jiua bure ati kwa mapenzi
ya nini ya nini ya nini ya nini ooh
wataka kupanda Kilimanjaro shauri moyo wako
wataka kuruka juu kama ndege shauri moyo wako
wataka kumuoa binti Sultani shauri moyo wako
wataka kuvuka maji makubwa shauri moyo wako
wajitupa gorofani ati kwa madeni
ya nini ya nini ya nini ya nini ooh
wajichoma mwili wote ati kwa mapenzi
ya nini ya nini ya nini ya nini ooh
wajitupa gorofani ati kwa madeni
ya nini ya nini ya nini ya nini ooh
wajichoma mwili wote ati kwa mapenzi
ya nini ya nini ya nini ya nini ooh