
Sijiwezi ft. K2GA Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Sijiwezi ft. K2GA - Menina (TZ)
...
ooooh oooooh oooh menina meninaa na music swabr me beat chagua nafasi kwenye imaya yangu utulie minakupa penzi ukinipa shoka utanifanya nijutie navile nipo radhiii tuwe halali lengo litimie thamani ya penzi tudumu waone aya we babaaa naona raha mwenzio gongo la Mboto Mombasa yani raha mwenzio Asa pale ukinitomasa sijiwezi sijiwezi huba lime nikolea sijiwezi sijiwezi ooh my love sijiwezi sijiwezi huba lime nikolea aaah sijiwezi sijiwezi ooh my God ukikosa nguo nitakupa ngozi mi niwako kipofu nimeona mwezi