Nibebe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nibebe - Menina
...
menina regreaa
Mwenzenu nimeovadose
Nimewehuka kichizi
Nimekuwa zuzu wa mapenzi
Nimeisahau simanziii
nusu tahira uchiziii
Mbumbumbu kabisa sijiweziii
Yameniroga mapenziii
Sitokwi Tena machozi
Imenizidiaa
nguvu ya mapenziii
Nimeshika gia
kunishusha kaziii
Baridi ooh baridi nishike baridi
Na mahasidi
Tuwaepuke mahasidii
Baby
Baridi ooh baridi nishike baridi
na mahasidi
Tuwaepuke mahasidii
baby baby nibebe
baby usinimwage
baby baby nibebe
baby usinimwage
baby baby nibebe
baby usinimwage
baby baby nibebe
baby usinimwage
Teamo teamo
France speaking
Siri zako ndio Siri zangu tufichiane
Raha zako ndio raha zangu na tupeanee
kunishusha kaziii
Baridi ooh baridi nishike baridi
Na mahasidi
Tuwaepuke mahasidii
Baby
Baridi ooh baridi nishike baridi
na mahasidi
Tuwaepuke mahasidii
baby baby nibebe
baby usinimwage
baby baby nibebe
baby usinimwage
baby baby nibebe
baby usinimwage
baby baby nibebe
baby usinimwage
Akitaka nimpe mkunu wa Nazi
Namkunia kwakwaru
kwaru kwaru kwa kwaru
kwa kwaru kwa kwaru
Nataka anipe mkungu wa ndizi
anichumie chwacharu
chwa chwa chwacharu
chwa chwa chwacharu
Menina menina
akitaka nimpe mkunu wa nazi
Namkunia kwakwaru
kwaru kwaru kwa kwaru
kwa kwaru kwa kwaru
Nataka anipe mkungu wa ndizi
anichumie chwacharu
chwa chwa chwacharu
chwa chwa chwacharu
added by
Prince wa kigoma