![Tabia Zangu ft. Mumbara](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/31/2d49a454e30c471d9270693588a6c2c9_464_464.jpg)
Tabia Zangu ft. Mumbara Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Tabia Zangu ft. Mumbara - Menina (TZ)
...
(Lyrics by saggie Mac’yalue, follow me on boombuzz🥰.)
…..
Kwanza kabisa mi sijuagi kuvaa
Utanipenda vipi mi mwanamke wa baa
Kikingine uswahilini ndo ninapo kaa
Nikija maghetoni kila kitu mi nakwara
Napenda kuropoka maneno yaso nihusu
Napenda kufyotoka fyotokaa
Yani mapema utanichoka wewe nitakuudhi
Mana sina akili za kutosha
Usiku nikilala domo naliacha wazi
Mi nakoroma mpaka utakosa usingizi
Nikilaga chakula lazima nijipake michuzi
Sieleweki yani nipo kama chizi
Ile broom mpaka makka si ndo uterezi
Mi ndo bonge la rofa hasa kwenye mapenzi
Nikiamua kupenda napendaga kishenzi
Nipo tayari kutoa roho kisa mapenzi
Tabia zangu, utaziweza tabia zangu..??
Tabia zangu, utazipenda tabia zangu..??
Tabia zangu, utaziweza tabia zangu..??
Tabia zangu, utazipenda tabia zangu..??
……
Swabri ***
Mwenzako mi kutulia ndo siwezagi
Nina katabia kale ka uzururaji
Napenda kunywa pombe kuliko hata maji
Mara mwisho kwenda church hata sikumbukagi
Nikimkopa mtu kumlipa ni balaa
Achukue hela zangu bila kutoka jeraha
Jamani ukinidai kwako ni kizaa zaa
Ntaliamsha dude mpaka utaona karaha
Hata sina nguvu ila nina vimba
Nikikamata maboya hua nawatimba
Yani ukijichanganya mi nakufilimba
Nakudunda nakupiga piga
Nikilaga chakula lazima nijipake michuzi
Sieleweki yani nipo kama chizi
Ile proom mpaka makka si ndo utelezi
Mi ndo ndo bonge la rofa hasa kwenye mapenzi
Nikiamua kupenda napendaga kishenzi
Niko tayari kutoa roho kisa mapenzi
Tabia zangu, utaziweza tabia zangu..??
Tabia zangu, utazipenda tabia zangu..??
Tabia zangu, utaziweza tabia zangu..??
Tabia zangu, utazipenda tabia zangu..??
Muda mwingine sina hamu ya mapenzi
Muda ukifika mi nayamwaga mashu**
Yani ntakuboa ntakuletea makuzi
Nakula navimbiwa nacheua kama mbuzi
Hata sina nguvu ila nina vimba
Nikikamata maboya hua nawatimba
Yani ukijichanganya mi nakufilimba
Nakudunda nakupiga piga (nakupiga piga)
****
Napenda pombe, jamani tunyweni ombe (aah sawa)
Napenda gambe, jamani tunyweni gambe (weee)
Tunywe tulewe, tuumwagilie moyo
Tunywe tuleeeewe, tuumwagilie mooyo.
(Unaijua hio)