
Utaniua ft. Swabri Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Utaniua ft. Swabri - Menina (TZ)
...
Nishazunguka koteee
Kama we never seen before
Nikianguka niokotee
Ntaumia ukiubwaga moyo
Nilindie thamani ya pendo
Husije nichuuza
Kwako ndo nishamaliza mwendo
Husije niumiza
My baby don't wanna let you go
Kibogoyo sijazoea mifupa
Ukiniacha nitakua alone
Nitabaki kama mateka
Nilishapenda nikanyanyasika
Adharani nikadharirika
Nahisi kwako ndo nimefika
Baba nilindie mpendo
Nilishapenda nikanyanyasika
Adharani nikadharirika
Nahisi kwako ndo nimefika
Baba nilindie mpendoo
Utaniua utaniua
Ukiniacha sio sawa
Utaniua utaniua
Gonjwa maututi we ndo dawa
Utaniua utaniua
Ukiniacha sio sawa
Utaniua utaniua
Gonjwa maututi ntapagawa
Aah baby
Penzi langu kwako si lamkopo lamoto kiroboto
Nichukiwe ata nichapwe viboko nichomwe moto mi ni wako
Niamini utafurahi sana siku ikifika kufunga ndoa
Wambea wataulizana walisema sitokuoa
Tugandane chawachawa
Sinia kawa kawa
Manyaku nyaku mi ntaua ntaua
Tutoe mikosi nshapagawa my darling
Nilishapenda nikanyanyasika
Adharani nikadharirika
Nahisi kwako ndo nimefika
Mama nitunzie upendo honey
Utaniua utaniua
Ukiniacha sio sawa
Utaniua utaniua
Gonjwa maututi we ndo dawa
Utaniua utaniua
Ukiniacha sio sawa
Utaniua utaniua
Gonjwa maututi ntapagawa
Aah baby
Penzi langu kwako si lamkopo
Nichukiwe ata nichapwe viboko